June 27, 2014

  • Balozi Modest Mero afanya mazungumzo na Mh. Dkt. Seif Rashid, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii na Bi. Agness Kijazi, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa, Geneva, Uswisi



    Balozi Modest Mero afanya mazungumzo na Mh. Dkt. Seif Rashid, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii na Bi. Agness Kijazi, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa, Geneva, Uswisi
     Balozi Modest Mero na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Bi. Agness Kijazi katika picha ya pamoja, kwenye makazi ya balozi Tanzania nchini Geneva

    Hivi karibuni Mh. Modest Mero, Balozi wa Tanzania, Geneva alifanya mazungumzo ya pamoja na Mh. Dkt. Seif Rashid na Bi. Agness Kijazi, katika makazi ya Balozi, Geneva.

    Ujumbe wa Mh. Waziri ulikuwa Geneva kwenye kikao cha Bodi ya " Global Alliance for Vaccines and Immunization", Geneva, ambapo Mh. Waziri ni mjumbe wa Bodi. Na pia ujumbe wa Mkurugenzi wa Hali ya Hewa upo Geneva kuhudhulia kikao cha 60 cha kamati kuu ya Shirika la Hali ya Hewa Duniani (World Meteorological Organization).
     Mh. Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii katika mazungumzo na Balozi Mero, kwenye makazi ya balozi, Geneva, Uswisi.
     Wakijiandaa kupata mlo wa pamoja baaada ya mazungumzo
    Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mh.Dkt. Seif Rashid, Balozi Mh. Modest Mero na Mrs. Rose Mero na msaidizi wa Waziri katika picha ya pamoja


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.