June 25, 2014

  • MATUKIO KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO


    MATUKIO KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO
    PG4A3749Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na madiwani kutoka jimbo la Mkuranga kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 24, 2014. Madiwani hao walikwenda  Bungeni kwa mwaliko wa Mbunge wao, Adam Malima ambaye pia ni Naibu Waziri wa Fedha.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A3758Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akizungumza na  Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema, Bungeni mjini Dodoma  Juni  25, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
    PG4A3768Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Mbunge wa Mtwara Mjini  Hasnan Murji,bungeni mjini Dodoma Juni 25, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.