June 29, 2014

  • Mbunge wa Kalenga Mhe Godfrey Mgimwa atembelea wapiga kura jimboni kwa baiskeli



    mbunge wa kalenga mhe godfrey mgimwa atembelea wapiga kura jimboni kwa baiskeli
    Mbunge  wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa akiwa katika usafiri wa Baiskeli akienda kutembelea wapiga kura wake kata ya Ifunda eneo la Kivalali 
    Wananchi wa Kivalali kata ya Ifunda  wakijiandaa kupeana mikono na mbunge Mgimwa 
    Mbunge Mgimwa akisalimiana na wanakikundi cha burudani Kivalali kata ya Ifunda


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.