June 29, 2014

  • JAMES RODRIGUEZ APIGA BAO BORA NA KUMPOTEZA MESSI, SASA COLOMBIA VS BRAZIL ROBO FAINALI



    AMES RODRIGUEZ APIGA BAO BORA NA KUMPOTEZA MESSI, SASA COLOMBIA VS BRAZIL ROBO FAINALI
    The main man: James Rodriguez enhanced his                      burgeoning reputation with a match-winning                      performance
    Seansational strike: Rodriguez broke the                      deadlock with a quite magnificent effort from                      outside the box
    The perfect 10:                          Rodriguez fired Colombia to the quarter-finals,                          their best ever-performance in a World Cup
    Namba 10 kamili: Rodriguez aliivusha Colombia hatua ya robo fainali na kuonesha kiwango ambacho hawajawahi kucheza kombe la dunia.
    Lord of the dance:                        Rodriguez and Los Cafeteros celebrate the second                        in familiar fashion
    Mfalme wa kucheza:  Rodriguez na Los Cafeteros wakishangilia bao lao kwa kucheza kwa staili moja.
    On the run: Aged just                        22, Rodriguez heads the race to the Golden Boot                        with five goals
    Anafukuzia:  Rodriguez mwenye miaka 22 anakifukuzia kiatu cha dhahabu kwa kufikisha mabao matano.
    Hapa chini ni vikosi vya timu zote na viwango vya wachezaji. Alama ni chini ya 10. 

    Kikosi cha Colombia: Ospina 8, Zuniga 7.5, Zapata 6.5, Yepes 6, Armero 7, Cuadrado 7.5 (Guarin 81), Aguilar 7, Sanchez 6, Rodriguez 8.5 (Ramos 85), Gutierrez 7 (Meija 68), Mainez 6.5. Subs not used: Vargas, Arias, Carbonero, Ibarbo, Balanta, Bacca, Quintero, Valdes, Mondragon.
    Kocha: Jose Pekerman 7.5.
    Kadi ya njano: Armero.
    Mfungaji wa magoli: Rodriguez 28, 50.

    Kikosi cha Uruguay: Muslera 7, Caceres 6, Gimenez 6.5, Godin 6.5, A Pereira 6.5, M Pereira 7, Gonzalez 5.5 (Hernandez 67), Arevalo 5.5, Rodriguez 6, Cavani 7.5, Forlan 6 (Stuani 53). Subs not used: Munoz, Fucile, Gargano, Lodeiro, Perez, Ramirez, Coates, Silva.
    Kocha: Oscar Tabarez 5.5.
    Kadi ya njano: Jimenez.
    Mwamuzi: Bjorn Kuipers (Holland) 6.5.
    Idadi ya watazamaji: 73,804.
    Viwango vya wachezaji na JEFF POWELL kwenye uwanja wa Maracana


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.