June 27, 2014

  • KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI AWASILI JIJINI MWANZA KWA ZIARA YA KIKAZI MAGEREZA MKOA WA MWANZA


    KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI AWASILI JIJINI MWANZA KWA ZIARA YA KIKAZI MAGEREZA MKOA WA MWANZA

    imageKamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini akiwasili uwanja wa Ndege wa Mwanza leo Juni 26, 2014 kwa ziara ya kikazi Magereza Mkoa wa Mwanza. Aidha Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza atahudhuria pia Kikao cha 26 cha Bodi ya Taifa ya Parole ambacho kimeanza leo katika Ukumbi wa Mwanza Hoteli, Jijini Mwanza(kushoto) ni Kaimu Mkuu wa Magereza Mkoa wa Mwanza, Kamishna Msaidizi wa Magereza, Goleha Masunzu.
    image_1Afisa Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Mwanza, Naibu Kamishna wa Uhamiaji, Remegius Pesambili(wa pili kulia) akimlaki Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja(Kaunda Suti nyeusi) alipowasili leo Juni 26, 2014 katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza kwa ziara ya Kikazi Magereza Mkoa wa Mwanza.
    photoKamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja akisaini kitabu cha Wageni mapema leo jioni Juni 26, 2014 alipowasili Jijini Mwanza kwa ziara ya Kikazi(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.