June 27, 2014

  • ANGALIA PICHA:DEREVA WA DALADALA ASHUSHIWA KIPIGO NA ABIRIA WAKE NI BAADA YA KUTAKA KUSABABISHA AJALI




    ANGALIA PICHA:DEREVA WA DALADALA ASHUSHIWA KIPIGO NA ABIRIA WAKE NI BAADA YA KUTAKA KUSABABISHA AJALI

    Dereva wa daladala ya Gongo la Mboto – Posta amepata kichapo na abiria baada kutaka kupindua daladala hiyo karibu na stendi ya mnazi mmoja, kichapo hicho alikipata baada yeye kutaka kukimbia.


    Kichapo kinaendela kwa dereva huyo aliyesemekana kuwa ni deiwaka tu.



    deiwaka wa daladala la Gongo la Mboto Posta katikati aliyevaa shati la bluu akipewa kichapo na abiria.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.