June 26, 2014

  • MAKAMU WA RAIS WA CHINA AWASILI ZANZIBAR

     
    DSC_1825Makamu wa Rais wa Jamhuri ya watu wa China Li Yuanchao akipunga mkono wakati akiteremka katika ndege na kuwasili Zanzibar kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.DSC_1832Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao akivishwa shada la Mauwa baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar.DSC_1835Makamu wa Rais wa Jamhuri ya watu wa China Li Yuanchao wakwanza kulia akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Zanzibar baada ya kuwasili,katikati ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi.DSC_1864Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi kulia akiwa pamoja na mgeni wake Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao wakikagua gwaride rasmi lililotayarishwahapo katika Uwanja wa Ndege wa Zanzibar.
    DSC_1875-Makamu wa Rais wa Jamhuri ya watu wa China Li Yuanchao akiangalia ngoma ya Utamaduni (Msewe)baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa Zanzibar.DSC_1961Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao kushoto akiwa pamoja na Meneja wa Hoteli ya Lagemma,Andrew Cook wakwanza kulia walipowasili katika Hoteli hio huko Nungwi kaskazini Unguja kwa ajili ya Kikao Maalum.
    PICHA NA MAKAME MSHENGA-MAELEZO ZANZIBAR.
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.