June 25, 2014

  • Msaidizi wa waziri wa maliasili na utalii,Helen Mtalemwa,akimkabidhimsaada wa shilingi 10 milioni katibu wa ofisi ya Qadhi mkoa wa Singida


    Msaidizi wa waziri wa maliasili na utalii,Helen Mtalemwa,akimkabidhimsaada wa shilingi 10 milioni  katibu wa ofisi ya Qadhi mkoa wa Singida,Alhaj Burhan Mlau kwa ajili ya kupunguza makali ya uendeshaji wa mahakama hiyo mjini hapa. 
     Mkuu wa wilaya ya Singida, Queen Mlozi, akizungumza muda mfupi kabla msaidizi wa Waziri wa Maliasili na Utalii,Helen Mtalemwa (wa pili kulia) kukabidhi shilingi milioni kumi kwa ajili ya kuipunguzia makali ya uendeshaji ofisi ya Qadhi mkoa wa Singida.



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.