June 27, 2014

  • TCRA YATOA SEMINA KWA MAOFISA WA POLISI MKOA WA KILIMANJARO



    TCRA YATOA SEMINA KWA MAOFISA WA POLISI MKOA WA KILIMANJARO
    Naibu Mkurugenzi wa kanda wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini ,Victor Nkya akizungumza wakati semina ya siku moja kwa maofisa wa polisi wa ngazi mbalimbali mkoa wa Kilimanjaro.
    Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ,SACP ,Robert Boaz akizungumza wakati akifungua semina ya siku moja kwa maofisa wa polisi wa ngazi mbalimbali mkoa wa Kilimanjaro iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano nchini TCRA kushoto kwake ni Naibu Mkurugenzi wa kanda wa Mamlaka ya Mawasiliano nchini ,Victor Nkya
    Washiriki wa semiana wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi .Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.
    PICHA ZAIDI BOFYA HAPA


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.