June 28, 2014

  • MWENDESHA BODA BODA ANUSURIKA KIFO, UBUNGO DAR



    MWENDESHA BODA BODA ANUSURIKA KIFO, UBUNGO DAR

    Katika hali ya kusangaza wakazi wa jiji la Dar leo asubuhi maeneo ya barabara ya Morogoro - Ubungo, Mwendesha Boda boda na abiria wale walikula mweleka baada ya kujifanya kuipita bajaji iliyokuwa mbele yake.
    Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo walisema kuwa mwendesha Boda Boda alikuwa kwenye mwendo kasi ili aipite bajaji ila mahesabu yake yalikuwa mabaya ndiyo alipojikuta akiupanda ukuta wa bembezoni mwa barabara ba kudondoka akiwa pamoja na abiria wake na hakuna aliyekufa. 
    Wasamalia wema wakijaribu kuinyanyua boda boda hiyo kuitoa barabarani.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.