June 28, 2014

  • OCS MIRERANI ATULIZA WAENDESHA BODABODA WANAOLALAMIKIA KODI



    OCS MIRERANI ATULIZA WAENDESHA BODABODA WANAOLALAMIKIA KODI
     Mkuu wa kituo cha polisi Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, ASP Lwitiko Norman Kibanda, akizungumza jana na madereva wa pikipiki za kubeba abiria ambao waliandamana hadi kwenye kituo hicho wakipinga kutozwa fedha sh22,000 na maofisa biashara wa wilaya hiyo, waliodai kuwa tozo hizo ni amri ya Mamlaka ya Usafirishari wa vyombo vya usafiri wa majini na nchi kavu (Sumatra)



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.