June 04, 2014

  • BREAKING NEWS: ASKARI POLISI WANNE, WAJERUHIWA MSAFARA WA MBIO ZA MWENGE SINGIDA



    BREAKING NEWS: ASKARI POLISI WANNE, WAJERUHIWA MSAFARA WA MBIO ZA MWENGE SINGIDA
    Askari polisi wanne wamejeruhiwa, baada ya msafara wa mbio za Mwenge wa uhuru kupata ajali katika wilaya ya Sikonge, ukiwa njiani kuelekea Singida.

    Tutaendelea kukujuza hali zao
    CHANZO EAST AFRICA TV


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.