June 13, 2014

  • WAZIRI WA FEDHA SAADA MKUYA SALUM AKIWASILISHA BAJETI YA SERIKALI



    WAZIRI WA FEDHA SAADA MKUYA SALUM AKIWASILISHA BAJETI YA SERIKALI
    05Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwasili Bungeni alipokuwa anaenda kuwasilisha hotuba ya mapendekezo ya Bajeti ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/2015 leo mjini Dodoma.08Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwasilisha hotuba ya mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2014/2015 leo Bungeni mjini Dodoma. Waliokaa viti vya nyuma ni Manaibu Waziri wa wizara ya Fedha kushoto ni  Mwigulu Nchemba na kulia ni Adam Malima.
    09Baadhi ya Wabunge wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum alipokuwa anawasilisha mapendekezo ya Bajeti ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi  kwa mwaka wa fedha 2014/2015 leo Bungeni mjini Dodoma.10Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dk. Servacius Likwalile (wa tatu kushoto mstari wa pili kutoka nyuma), Maafisa wakuu wa Serikali na baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia kwa makini hotuba ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/2015 leo Bungeni mjini Dodoma.11
     Washirika wa Maendeleo nchini wakifuatilia hotuba iliyowasilishwa na Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum ya mapendekezo ya Bajeti ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi  kwa mwaka wa fedha 2014/2015 leo Bungeni mjini Dodoma.( Ingiahedi Mduma na E. Mangi – Hazina)


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.