June 23, 2014

  • Mahojiano ya Kwanza Production na Haika Lawere. Mkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel



    Mahojiano ya Kwanza Production na Haika Lawere. Mkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel
    Haika Lawere akizungumza na wanawake kwenye tukio la wanawake waTanzania Washington DC
    Photo Credits: IskaJojo Studios 
    Karibu katika mahojiano kati ya Kwanza Production na Haika Lawere.
    Yeye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mbezi Garden Hotel ya Dar Es Salaam Tanzania.
    Amezungumzia mengi kuhusu maisha yake, kazi yake, changamoto anazokumbana nazo katika kazi, ziaa yake hapa Marekani na hata ushauri wake kwa wasikilizaji
    Amezungumza mengi mema
    Karibu uungane nasi

    Kwa maoni ama ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia kwanzaproduction at gmail dot com


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.