June 23, 2014

  • CRISTIANO RONALDO AIBEBA URENO, APIGA KROSI ZIKISALIA SEKUNDE TANO WAKIPATA SARE YA 2-2 NA MAREKANI




    RISTIANO RONALDO AIBEBA URENO, APIGA KROSI ZIKISALIA SEKUNDE TANO WAKIPATA SARE YA 2-2 NA MAREKANI

    Late drama: Portugal              substitute Varela executes a diving header to salvage a 2-2              draw for his country in the 95th minute

    Nothing but net: Varela's                    header is too hot for USA goalkeeper Tim Howard who                    cannot react in time to stop it
    Hakuna kitu kingine zaidi ya nyavu: Kichwa cha Varela kilimuacha mbali kipa wa Marekani  Tim Howard
    Not over yet: Varela's                    goal keeps Portugal in with a chance of reaching the                    last 16 in Brazil
    Poacher: USA striker Clint                    Dempsey (right) gets low to chest the ball past                    Portugal keeper Beto and put his country 2-1 ahead
    Mshambuliaji wa Marekanir Clint Dempsey (kulia) akiifungia nchi yake bao la pili la kuongoza.
    National hero: Demsey runs                    off to celebrate his second goal of the World Cup with                    his team-mates
    Shujaa wa Taifa: Demsey akikimbia kushangilia bao lake

    Hapa chini ni vikosi vya timu zote na viwango vya wachezaji. Alama ni chini ya 10.
    Kikosi cha Marekani (4-2-3-1): Howard 7; Johnson 8, Cameron 6, Besler 7, Beasley 6.5; Beckerman 6.5, Jones 7; Bedoya 6.5 (Yedlin 72mins 6), Bradley 7.5, Zusi 6 Gonzales 90mins 6) ; Dempsey 6

    Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Guzan, Brooks, Johannsson, Diskerud, Davis, Green, Chandler, Rimando.
    Wafungaji wa magoli: Jones 65, Dempsey 81
    Kadi ya njano: Jones
    Kikosi cha Ureno (4-3-3): Beto 7; Pereira 6.5, Costa 6, Alves 6, Almeida 5 (Carvalho 45mins 5); Moutinho 6, Veloso 5.5, Meireles 5.5 (Varela 68mins 6); Ronaldo 6, Postiga 5 (Eder 15mins 5), Nani 6

    Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Eduardo, Vieirinha, Luis Neto, Rafa, Ruben Amorim, Rui Patricio.
    Wafungaji wa magoli: Nani 5, Varela 90+5
    Mchezaji bora wa mechi: Johnson
    Mwamuzi: Nestor Pittana (Argentina)
    *Viwango vya wachezaji  Ian Ladyman
    Jumping for joy: Jones                      leaps into the air to celebrate scoring his first                      goal of the World Cup
     Jones akishangilia bao lake la kwanza la kombe la dunia.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.