Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Premier, Fabiola Mussula akizungumza waandishi wa habari kuhusiana na Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika waliyoandaa kupitia akaunti ya Junior Jumbo kwa ajili ya watoto.
Kila aina ya michezo ilikuwepo katika kuipamba Siku ya Mtoto wa Afrika.
Watoto wakicheza michezo mbalimbali nje ya Benki ya CRDB Tawi la Premier, uongozi wa Benki ya CRDB iliwaandali michezo mbalimbali watoto ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Premier, Fabiola Mussula (kushoto), akimkabidhi zawadi mtoto, Hildegalde Moris ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika iliyofanyika katika tawi hilo jijini Dar es Salaam na kuwashirikisha watoto kutoka shule mbalimbali za msingi.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Premier, Fabiola Mussula (kushoto),
akimkabidhi zawadi mtoto, Owen Gerald ikiwa
ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika iliyofanyika katika tawi
hilo jijini Dar es Salaam na kuwashirikisha watoto kutoka shule mbalimbali za msingi.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Premier, Fabiola Mussula (kushoto), akimkabidhi zawadi mtoto, Jorren Nkongoki ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya mtoto wa Afrika iliyofanyika katika tawi hilo jijini Dar es Salaam na kuwashirikisha watoto kutoka shule mbalimbali za msingi.
Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Smiley Kidz Events, Hilda Nakajumo akitoa maelekezo kwa watoto waliojumuika katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yaliyoandaliwa na Benki ya CRDB na kufanyika katika Tawi la Premier jijini Dar es Salaam.
Watoto wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa Benki ya CRDB.
Baadahi ya Wazazi walioleta watoto wao katika Benki ya CRDB tawi la Premier wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa benki hiyo mara baada ya wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Premier,
Fabiola Mussula (wa tatu kulia kushoto), akiwafariji watoto wanaolelea katika Kituo Cha Msimbazi Center jijini Dar es Salaam, wakati wafanyakazi wa benki hiyo walipoenda kuwafariji watotio hao na kutoa zawadi mbalimbali ikiwa ni sehemu ya maadhimishio ya siku ya Mtoto Afrika.
Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Premier, Fabiola Mussula (kulia), akimsikiliza Sista wa zamu wa Kituo cha kulelea watoto cha Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam, wakati wafanyakazi wa benki hiyo walipoadhimisha Siku ya Mtoto wa Afrika na watoto wa kituo hicho.
Watoto wanaolelewa katika Kituo cha Msimbazi Centre wakicheza
Sista wa zamu katika Kituo cha kulelea Watotio cha Msimbazi Centre akiwakatika picha ya pamoja na maofisa wa Benki ya CRDB walipotembelea kituo hicho na kutoa zawadi kwa watoto hao ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Premier wakiwa wamewabeba na watoto wanaolelewa katika kituo cha Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam walipowatembelea watoto hao na kutoa zawadi mbalimbali ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika.Wa nne kushoto ni Meneja wa Benki ya CRDB Tawi la Premier, Fabiola Mussula.
Baadhi ya
wanafuzi wa shule mbalimbali wakimsiliza Meneja wa Biashara wa Benki ya CRDB Tawi
la Tabata, Burtony Mbogella wakati wa Maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika
kupitia akaunti ya Junior Jumbo.
Meneja
wa Benki ya CRDB Tawi la Tabata, Hawa Sasya akizungumza na wanafunzi wa shule
mbalimbali wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika kupitia akaunti ya
Junior Jumbo.
Baadhi ya wanafunzi wa Macedonia Nursery & Primary school
wakiwasikiliza Maofisa wa Benki ya CRDB walipokuwa wakitoa elimu kuhusu akaunti
ya Junior Jumbo.
Meneja
wa benki ya CRDB Tawi la Water Front, Donath Shirima akifafanua jambo wakati
wafanyakazi wa tawi hilo walipojumuika na wanafunzi wa Shule ya Fortune
Nursery & Primary katika Maadhimisho ya Siku ya Mtoto
wa Afrika kupitia akaunti ya Junior jumbo. Kulia ni Ofisa Mauzo wa Benki
ya CRDB, Crala Rogatas na Meneja Mikopo wa benki hiyo, Isaya Lyimo.
Wanafunzi wa
Shule Fortune Nursery& Primary wakionesha umahiri wa kucheza ngoza za
asili wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika kupitia akaunti ya
Junior Jumbo.
Meneja wa benki ya CRDB Tawi la Water Front, Donath Shirima (kushoto)
na Mwalimu wa shule hiyo, Kharifa Rashidi wakikata keki sambamba na
wanafunzi wa Fortune Nursery & Primary School wakati wafanyakazi wa benki hiyo
walipojumuika na wanafunzi hao katika maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa
Afrika.
elimu kuhusu akaunti ya Junior Jumbo kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Buguruni
wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika.
0 comments:
Post a Comment