June 16, 2014

  • MGOGORO WA WAISLAMU TABORA:- ALIYEKUWA SHEIKH MKUU AFIKISHWA MAHAKAMANI.



    MGOGORO WA WAISLAMU TABORA:- ALIYEKUWA SHEIKH MKUU AFIKISHWA MAHAKAMANI.
    Aliyekuwa Sheikh mkuu wa mkoa wa Tabora Sheikh Shaaban Salumu(aliyevaa shati jeusi) wakati alipokuwa barabarani akisindikizwa na waumini wa dini ya kiislamu baada ya kuachiwa kwa dhamana katika mahakama ya hakimu mkazi Tabora akituhumiwa kwa kosa la kutaka kuleta fujo msikiti mkuu wa Ijumaa Gongoni mjini Tabora akiwa na waumini wengine watano.
    Sheikh Shaaban Salum akiwa na baadhi ya waumini waliounganishwa naye katika kesi moja mahakama ya hakimu mkazi Tabora mjini.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.