June 02, 2014

  • DAVID VILLA AINGIA KWENYE REKODI YA KUWA MCHEZAJI WA KWANZA MKUBWA KUSAJILIWA NA NEW YORK FC



    DAVID VILLA AINGIA KWENYE REKODI YA KUWA MCHEZAJI WA KWANZA MKUBWA KUSAJILIWA NA NEW YORK FC
    First of many... New York FC                  posted a picture of David Villa holding the shirt on                  their Twitter account
    Farewell: David Villa has                  said his goodbyes to Atletico Madrid ahead of his move                  to New York City
    Kwaheri: David Villa amewaaga  Atletico Madri.KLABU ya New York City FC imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Hispania, David Villa kwa mkataba wa miaka mitatu.
     Klabu hiyo kubwa  inayomilikiwa  na  Manchester City na  New York Yankees, imethibitisha katika mtandao wake wa Twita kuwa nyota huyo mwenye miaka 32 ni mchezaji wao mkubwa wa kwanza kumsajili.
    Klabu ilitweet: "Karibu  New York City: David Villa (@Guaje7Villa) rasmi amesaini kama mchezaji wa kwanza mkubwa kusajiliwa na £NYCFC. £VillatoNYCFC.'
    Villa anakwenda Marekani baada ya kuwasaidia Atletico Madrid kushinda taji lake la kwanza tangu mwaka 1996 na kufika fainali ya UEFA ambapo walipoteza dhidi ya Real Madrid.Nyota huyo alijiunga na Atletico majira ya kiangazi mwaka 2013 baada ya kucheza misimu mitatu ya mafanikio katika klabu ya Barcelona, wakati huo huo aliwahi kuzichezea  Valencia, Real Zaragoza and Sporting Gijon.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.