Rais wa Zanzibar na                  Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein                  akisalimiana na Makamu Mkuu wa Rais wa kampuni ya ZTE                  Bw.Huang Dabin,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo                  asubuhi kwa mazungumzo na Rais
                Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la                Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein akifuatana na Makamu Mkuu                wa Rais wa kampuni ya ZTE Bw.Huang Dabin,(kushoto) baada                ya kumaliza mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Mjini                Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
        

0 comments:
Post a Comment