July 09, 2014

  • Mdau Kheri Abdul Mahimbali alamba nondozzz yake ya MSc in Oil and Gas Enterprise Management



    Mdau Kheri Abdul Mahimbali alamba nondozzz yake ya MSc in Oil and Gas Enterprise Management
     Mdau Kheri A. Mahimbali akiwa na mzee wake Abdul Ahmed Dau na mtoto wa simba Ahmed Dau baada ya kula nondoz ya MSc in Oil and Gas Enterprise Management.
     Mdau Kheri A. Mahimbali akipose nje ya kitivo "University of Aberdeen" baada ya kula nondoz ya MSc in Oil and Gas Enterprise Management.
     Mdau Ahmed Dau aka "mtoto wa simba akiwa kwenye pozi la ukweli baada ya kumsindikiza Kheri A. Mahimbali kula nondoz ya MSc in Oil and Gas Enterprise Management. 
     Mdau Kheri A. Mahimbali akisubiri kwa hamu kulamba nondozzzz yake ya MSc in Oil and Gas Enterprise Management 
     Mdau akiwa na professor wake Professor David MacDonald mtaaalam wa mas-ala ya Geology
     Mdau akiwa na dingi yake Abdul Dau wa Leicester wakati wa kula nondozzzz
     Haruna Mbeyu "Meya wa London" naye alikuepo katika ulaji wa nondozz wa mdau Kheri A. Mahimbali jijini Aberdeen Scotland
     Mdau Kheri Mahimbali akiwa na Haruna Mbeyu "Meya wa London" na bwana Ahmed Dau "mtoto wa simba" wakiwa katika furaha kubwa
      Bwana Ahmed Dau akiwa na MSc graduate
     Meya wa London bwana Haruna Mbeyu akiwa na MSc graduate

     Wadau kutoka kushoto bwana Haruna Mbeyu "Meya wa London" akiwa na Al-watan wa Leicester bwana Abdul Dau akifuatiwa na graduate bwana Kheri Mahimbali na wa mwisho bwana Ahmed Dau "mtoto wa simba" wakiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Aberdeen wakijiandaa na safari
    Mdau akiwa na furaha ya kula nondozzzzz


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.