June 02, 2014

  • CHADEMA NA UKAWA WASUSIA MAZISHI YA MAMA WA MBUNGE MAARUFU WA CHADEMA ZITTO KABWE ONA PICHA HAPA ZA MAZISHI LIVE!!



    CHADEMA NA UKAWA WASUSIA MAZISHI YA MAMA WA MBUNGE MAARUFU WA CHADEMA ZITTO KABWE ONA PICHA HAPA ZA MAZISHI LIVE!!
    Mh Zitto Kabwe akiwa na majonzi makubwa
    Mh Zitto Kabwe akisalimiana na watu waliokuja kumpa pole
    Mwili wa marehemu ukiwa umewasili nyumbani tayari kwa kuagwa na kusomewa dua
    Mwili wa marehemu ukishushwa kwenye gari nyubani ayri kwa kuagwa na kusomewa dua



    Ni simanzi na majonzi nyumbani kwa marehemu
    Mwili ukiwa umefika tayari kwa kusomewa dua




  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.