June 16, 2014

  • News alert: hackers waiba akaunti ya facebook ya meya wa ilala Mstahiki Jerry Silaa leo


    news alert: hackers waiba akaunti ya facebook ya meya wa ilala Mstahiki Jerry Silaa leo
    Napenda kuwajulisha marafiki zangu wote kwamba akaunti yangu ya facebook ime-hackiwa na kuanza kutuma ujumbe kwa marafiki zangu kuwataka waingie kwenye link kwani nina maongezi ya siri.

    Tafadhali puuzia ujumbe huo kwani utasababisha akaunti yako nayo ku-hackiwa.
    Tafadhali sambaza ujumbe huu, wakati tunaendelea kujaribu kuiokoa. Nawaomba radhi wote walopatwa na usumbufu huu.
    Asanteni sana
    - Jerry Silaa



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.