Katika kuendelea                kusherehekea Muungano wetu na pia kujiunga na wenzetu wa                nchi ya Zambia ambao nao mwaka huu wanasherehekea miaka 50                tangu wapate Uhuru (25 Oktoba), Ubalozi wa Tanzania nchini                Zambia unapenda kuwajulisha kuwa umeandaa maonesho ya                bidhaa zinazozalishwa nchini Tanzania.
        Ubalozi wa Tanzania                nchini Zambia unachukua nafasi hii kuwakaribisha rasmi                Watanzania kuja kushiriki katika maonesho haya. Tuna amini                ni nafasi nzuri ya kujitanganza na kuonana uso kwa uso na                wadau mbalimbali ili kupanua wigo wa biashara.
                Maonesho haya ambayo                yamebeba jina la "TANZANIA WEEK" yatafanyika katika                viwanja vya Ofisi ya Ubalozi Lusaka, Zambia, kuanzia                tarehe 25 hadi 31 Julai 2014.
        Kwa maelezo zaidi na                mawasiliano tumia njia zifuatazo:
             Nukushi ya Ubalozi:                tanzanhighcom@zambia.co.zm
             Namba ya Simu:                +260211253323/4 
        Maafisa wa Ubalozi; 
        i) Bibi                Justa M. Nyange - simu ya kiganjani +260-979-401-433 
               Nukushi                : kitutuj@yahoo.com
            ii) Bw.                Richard M. Lupembe  - simu ya kiganjani +260-965-031-754
                  Nukushi :                rlupembe@yahoo.com.
            iii) Bw.                Mogosi S. Munatta - simu ya kiganjani +260-979-411-011
                  Nukushi :                munatta@yahoo.co.in.
           iv)  Bw. Huddy A.                Kiangi …….simu ya kiganjani +260-977-934-240
                 Nukushi :                hkiangi@yahoo.com.
        KARIBU SANA LUSAKA,                ZAMBIA
        

 
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment