June 02, 2014

  • Bodi ya Maziwa na Heifer Internationl wahamasisha unywaji wa maziwa




    Bodi ya Maziwa na Heifer Internationl wahamasisha unywaji wa maziwa
    Mkuu wa Wilaya ya Tarime, John Henjewele (kushoto) akitembelea banda la Shirika la Heifer International Tanzania katika maonyesho ya maadhimisho ya wiki ya maziwa mjini Musoma Mkoani Mara hivi karibuni.
    Mfugaji wa Shrika la Heifer, Emannual Mgesi (aliyevaa Kaunda suti nyekunde) akimweleza Mkuu wa Wilaya ya Tarime, Joh Henjewe pamoja na wakazi wengine wa Musoma kuhusu ufugaji bora wa ng'ombe wakati wa maadhimisho ya wiki ya maziwa mjini Musoma Mkoani Mara hivi karibuni.
    Meneja wa Shirika la Heifer nchini, Dk.Henry Nyakoi (katikati) akimweleza Mkuu wa wa Wilaya ya Butiama, Angelina Mabula (kulia) kuhusu kazi mbalimbali za shirika hilo wakati wa maadhimisho ya wiki ya maziwa mjini Musoma hivi karibuni. Kauli mbiu ya mwaka huu ni 'Fuga ng'ombe wa maziwa uboreshe kipato na lishe.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.