June 01, 2014

  • Kutoka maktaba: Kikosi cha pamba FC "TP LINDANDA" ya Mwanza




    kutoka maktaba: Kikosi cha pamba FC "TP LINDANDA" ya mwanza
    Kikosi cha kazi cha Pamba FC a.k.a "TP Lindanda" ya Mwanza iliyokuwa moto wa kuotea mbali enzi zake. Mdau mwenye kukumbuka majina yao msaada tutani tafadhali


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.