June 02, 2014

  • ULE USEMI WA " UZEE MWISHO CHALIZE" UMEPEWA JINA LA MAZOEZI YA KUKATA UZITO !



    ULE USEMI WA " UZEE MWISHO CHALIZE" UMEPEWA JINA LA MAZOEZI YA KUKATA UZITO !
    Kwa wasanii wao kila usemi ni sehemu ya maisha yao! Juzi baadhi ya wasanii huko Ughaibuni wameibuka kwa kuyabandika majina mazoezi ya kukata uzito au unene wa mwili " Zoezi hili sasa lipewa jina la "UZEE MWISHO CHALINZE" usemi ambao umebuniwa na msanii Joti wa Ze Komedi. Zoezi hilo maalumu la kupiga vita unene au minyama ya uzembe limeshaanza kufanyiwa kazi kisawa sawa na wasanii,mmojawapo ni mwanamuziki Jhikoman ambae kwa sasa ana ziara ndefu huko Ulaya
    Mwanamuziki Jhikoman akijifua kupiga vita unene huko ughaibuni
    Hii ndio maana mwanamuziki Jhikoman huwa hachoki awapo jukwaani



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.