June 15, 2014

  • Kutoka FB ona picha za Ridhiwan Kikwete

    Nawashukuru Manyoni. Leo tumefanya mikutano Mikubwa mitatu na kueleza Utekelezaji wa Ilani, Katiba Mpya,Agenda kubwa za maendeleo na wajibu wa wananchi kwa serikali yao ikiwemo nguvu ya watu katika Demokrasia pana ya CCM na UTANZANIA WETU.
    AKSANTENI MANYONI MAGHARIBI.AKSANTE CCM.
    KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.