June 04, 2014

  • Karibu Sokoni Mwanakwerekwe, kwa raha zako.

     Baadhi ya viatu vikiwa vimepangwa karibia na soko. Sijapata kujua kama navyo vilikuwa vinauzwa sokoni hapo.
     Hapo ndi dampo la uchafu, mamlaka husika zipo likizo bora siku inaenda kwa Mungu
     Ona jinsi mifuko ilivyozagaa kwenye eneo hili.
     Hapo ni uchafu kwa kwenda mbele sasa halufu usipime.
     Ajira inapatikana pale kwenye dampo hilo, kwani vijana wajiokotea mifuko ya sandarusi maarufu kama polo ambayo itaoshwa na kutumika tena kwa ajili ya kuwekea bidhaa sokoni hapo.
     Hapo unaona polo sikiwa zinazagaa 
    Kwa juu ndio kuna soko kubwa ambalo linakuwa na bidhaa kama vyakula, nafaka ambazo zinauzwa kwenye soko hilo la Mwanakwerekwe, vipi wahusika mnaliona hilo?

    Endelea kufuatilia michapo
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.