June 17, 2014

  • DIEGO COSTA ASEMA ANAJIUNGA NA CHELSEA KWA KUWA NI KLABU KUBWA DUNIANI


    DIEGO COSTA ASEMA ANAJIUNGA NA CHELSEA KWA KUWA NI KLABU KUBWA DUNIANI

    I'm number one: Diego Costa appears to slap Spain                  team-mate David Villa during training on Sunday

    DIEGO Costa, 25, ameweka wazi kwamba anakwenda Chelsea kwa kusema kuwa anajiunga na timu hiyo kwa vile ni moja ya klabu kubwa duniani.

    Mshambuliaji huyo wa Atletico Madrid ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitegemewa kujiunga na Chelsea kwa ada ya pauni milioni 32, amefichua kuwa usajili wake huo uko ukingoni kukamilika.

    Costa anasema amekuwa na njozi ya kucheza Ligi Kuu ya England kwa muda mrefu na kwamba ubora wa Chelsea ni miongoni mwa sababu kubwa zilizomfanya akubali kujiunga nayo.



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.