NIGERIA imeshindwa kuichapa Iran katika mchezo wa Kombe la Dunia wa kundi F ambao wawakilishi hao wa bara la Afrika walistahili kushinda.
Mchezo huo wa Nigeria na Iran umemalizika kwa sare ya 0-0 na hii inakuwa sare ya kwanza kupatikana tangu michuano hii ya Kombe la Dunia 2014 ilipoanza huko nchini Brazil.
Nigeria ilitandaza soka zuri na kutawala katika kila idara, lakini ikashindwa kupata tiba ya kuiangamiza Iran.
Iran: Alireza Haghighi, Montazeri, Hosseini, Sadeghi, Pouladi, Teymourian, Nekounam, Heydari (Shojaei 89), Dejagah (Jahanbakhsh 78), Hajsafi, Ghoochannejhad.
Nigeria: Enyeama, Ambrose, Oboabona (Yobo 30), Omeruo, Oshaniwa, Onazi, Mikel, Moses (Ameobi 52), Musa, Azeez (Odemwingie 69), Emenike.
0 comments:
Post a Comment