June 18, 2014

  • AJALI YA KUTISHA IMETOKEA NANENANE JIJINI MBEYA KATI YA ROLI NA TAX



    AJALI YA KUTISHA IMETOKEA NANENANE JIJINI MBEYA KATI YA ROLI NA TAX
    Gari aina ya tax toyota iliyopata ajali





    Roli lilisababisha ajali

    tax iliyogongwa na dereva kavunjika mguu









                     Mmoja kujeruwiwa  na kukimbizwa hospitalini jioni hii baada ya gari lake kukogwa vibaya na roli la mizigo ambalo lilikuwa linatoka uyole ya kuacha njia na kuvamia gari hilo dogo aina ya tax.
                  Chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa dereva wa roli na kushidwa kulimudu gari na kusababisha kuama njia.
                                                       Na Habari Talk


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.