Muendesha Bodaboda Mmoja Ambaye jina lake halikufahamika maja Moja AkiwaAmejeruhiwa Vibaya mara baada ya Ajali iliyotokea Leo asubuhi eneo la Stesheni Ubungo Maziwa mara Baada ya kugongana na Muendesha Bodaboda Mwenzake,.Kwa Mujibu wa Mashuhuda wa Tukio Hilo wamesema KIjana huyu alikuwa anaendesha Pikipiki akiwa Mwendo kasi alipojaribu kumpita Mwenzake Ndipo alipotekeza Muendesha Bodaboda Mwingine na Ndipo alipomgonga kwa Nyuma kisha Kudumbukia Mtaroni.
Majeruhi akiwa Amelala chini mara baada ya Ajali hiyo.
Umati uliojitokeza kushuhudia tukio hilo
Pikipiki iliyopata ajali .
0 comments:
Post a Comment