June 03, 2014

  • Adsense njia Bora ya kuinua Uchumi.

    Mara nyingi nilikuwa naona hilo neno Adsense nikadhani ni utani. Sasa kwa mara ya kwanza leo hii nimeenda Western Uninon na kuchukua malipo ya Adsense.

    Kwa kweli nina furaha sana leo na nimewakubali google, pia nawashukuru wadau wangu wote wanaonifuatilia kwa blog zangu kama michapo, Mihangaiko na Paradise Today ambayo inatagaza kazi mbalimbali na kukupa urahisi wa maisha.

    Unaweza ukaona ni pesa kidogo unazoweza kuzipata kwa siku moja kupitia adsense, lakini chororo si ndundundu, ni mabo ya muda kwa kweli. Mie nilidharau sana lakini sasa nimeaamini kuwa polepole ndio mwendo.

    Ninafuraha sana na kazi yangu ya blogging kwa kweli ni njema sana.

    Kwa maelezo zaidi waweza kusoma hii article: https://www.google.com/adsense/localized-terms?rc=TZ&ce=2

    Pia ufuate maelekezo yao yote.

  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.