June 22, 2014

  • Wizara ya Viwanda na Biashara ilivyoshiriki katika maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma




    Wizara ya Viwanda na Biashara ilivyoshiriki katika maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
    Ofisa Mkuu wa Wakala wa Vipimo, Zainabu Kafungo akielezea jinsi baadhi ya wafanyabiashara wanavyoiba kupitia mizani wakati wa maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma katika Banda la Wizara ya Viwanda na Biashara.
     Maofisa wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Huzaina Mushin na Kamala Gombe, wakitoa Elimu kwa wageni waliotembelea banda la Wizara hiyo katika maonyesho ya  wiki ya Utumishi wa Umma yanayoendelea katika viwanja vya Mnaza Mmoja,Dar es Salaam
     Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Viwanda na Biashara, Mary Mwangisa akiongoza  watumishi wa Wizara yake kutoa huduma katika Banda la Wizara hiyo katika maonyesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma
     Kaimu Mkuu wa kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Nicodemus  Mushi akihojiwa na vyombo vya habari.



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.