July 14, 2014

  • Picha na Video Maalum Kutoka IKULU:Ona Jinsi Rais Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete Walivyokatiza Mtaani Kwa Mguu na Kununu Ng'onda




    Picha na Video Maalum Kutoka IKULU:Ona Jinsi Rais Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete Walivyokatiza Mtaani Kwa Mguu na Kununu Ng'onda
    RAIS Jakaya Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete, wakinunua samaki katika kibanda, katika Kijiji cha Bweni, Wilaya ya Pangani, mkoani Tanga, juzi, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa maabara Shuke ya Sekondari Kipumbwi.Picha na Freddy Maro-IKULU




  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.