June 22, 2014

  • PINDA AMPOKEA MAKAMU WA RAIS WA CHINA ARUSHA




    PINDA AMPOKEA MAKAMU WA RAIS WA CHINA ARUSHA
    PG4A3067Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akiongozana na Makamu wa rais wa  Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha  Juni  21, 2014 kwa ziara ya kikazi nchini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A3097Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akiongozana na Makamu wa rais wa  Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha  Juni  21, 2014 kwa ziara ya kikazi nchini. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya  Rais, Utawala Bora, Capt.George Mkuchika.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A3170Waziri Mkuu, Mizego Pinda  akizungumza na Makamu wa Rais wa China , Li Yuanchao baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha  Juni 21, 2014 kwa ziara ya kikazi nchini. (Picha na Ofisi   ya Waziri Mkuu)PG4A3185Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akizungumza na Makamu wa Rais wa  Jamhuri ya Watu wa China, Li Yuanchao baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha  Juni  21, 2014 kwa ziara ya kikazi nchini.  Kulia ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Rais, Utawala Bora, Capt. George Mkuchika. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.