June 18, 2014

  • Mh. Lowassa amjulia hali sheikh mkuu wa Dodoma



    Mh. Lowassa amjulia hali sheikh mkuu wa Dodoma
    Waziri mkuu mstaafu na mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa akizungumza na sheikh mkuu mkoa wa Dodoma,sheikh Adam Zubeir wakati alipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Kikuyu Flats.Sheikh Zubeir amekuwa akisumbuliwa na maradhi na alipelekwa India kwa matibabu hivi karibuni.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.