June 01, 2014

  • Mastaa Mbali Mbali Walipokuwa Hospitalini Wakisubiri Mwili wa Marehemu Tyson



    Mastaa Mbali Mbali Walipokuwa Hospitalini Wakisubiri Mwili wa Marehemu Tyson
    Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere, akiwasili katika Hospitali ya Kairuki kusubiri mwili wa marehemu. Steve alivalia tisheti yenye ujumbe 'Why always me'

    Mke wa marehemu Tyson, Beatrice Shayo akiwa na simanzi wakati akiusubiri mwili wa mumewe.

    Wema Sepetu akihojiwa na mwanahabari wakati wa kupokea mwili wa Tyson.

    Mwigizaji Aunt Ezekiel naye alikuwepo kupokea mwili wa Tyson.

    Msanii wa filamu za Kibongo, Kelvin akihojiwa kuhusu alivyopokea taarifa za kifo cha mwongozaji filamu, George Tyson.
    GPL


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.