June 17, 2014

  • NHIF yatoa huduma za upimaji afya bure wiki ya Utumishi wa Umma



    NHIF yatoa huduma za upimaji afya bure wiki ya Utumishi wa Umma
    Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti, Raphael Mwamoto akitoa ufafanuzi wa huduma zinazotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) George Mkuchika alipotembelea banda la Mfuko huo, Kushoto ni Meneja wa NHIF, Mkoa wa Temeke Ellentruda Mbogoro.
    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utawala Bora) George Mkuchika akifurahi jambo baada ya kupata maelezo na huduma zinazotolewa na NHIF katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma.
    Maofisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakihakiki fomu za usajili za wanachama walizowasilisha katika maonesho hayo kwa lengo la kuandaliwa vitambulisho.
    Huduma za kupima uzito na urefu zikiendelea katika banda la NHIF
    Madaktari wakitoa ushauri wa kitaalam wa namna ya kuepukana na maradhi yasiyoambukiza.
    Huduma katika banda la upimaji zikiendelea.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.