(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM)
Mkuu wa Kitengo cha Biashara Kampuni inayotengeneza madawa ya mifugo MCI SANTE ANIMALE,Dr Baptiste Dungu (kushoto),akimkabidhi nyaraka ya makubaliano mara baada ya kusaini kwa Mtafiti Mkuu wa Kitivo cha Tiba ya Mifugo Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA,Profesa Philemon Wambura.Mtafiti Mkuu wa Kitivo cha Tiba ya Mifugo Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA,Profesa Philemon Wambura.akifafanua kwa waandishi wa habari kuhusina na chanjo hiyo ambapo amesema makubaliano hayo yatazalisha chanjo kwa wingi na kusambazwa Afrika nzima ikiwemo Tanzania.Wadau wakishuudia makubaliano hao.
chanzo na full shangwe.
0 comments:
Post a Comment