June 21, 2014

  • Breaking News Ajali mbaya imetokea mitaa ya Lugalo karibu na njia panda ya Kawe

    Breaking News Ajali mbaya imetokea mitaa ya Lugalo karibu na njia panda ya Kawe walikuwa wakitoka Mwenge kwenda kawe ajali imetokea baada ya gari dogo kutaka kupita lori na kuvamia daladala. Wapo waliofariki na majeruhi. Kwa hisani ya Misana ManyamaManyama eneo la tukio kama una ndugu alikuwa anaenda mitaa hiyo cross check nae.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.