May 11, 2014

  • Jamani Kibamia Kitamu Asikwambie Mtu Looh!!!

     
    Habari zenu wapendwa,
    Hapa nilipo niko nje ya bongo safari flani hv ya kizushi, na safari hiyo niko huku tangu mei mosi, saa bana ile ninefika tuu hotelini si mnajua mambo yetu yale, daaah nikanasa tundu bovu. Sass ile kufika ground play looh!!! Kila mtu kavaa jezi za game heee kumbe mwenzangu yeye mkulima wa bamia bana daah!! Nikataka kitoka nje ya ground play na kujisemea bora kukutana na mkulima wa mihogo kuliko bamia. Ila nataka kunyanyu mguu nitoke ulingoni si akanikamata bega, akaniwekea ulingoni bamia ya chukuchuku akachanganya na nyanya chungu, japo nyanya chungu ni chungu ila ziliongeza utamu kwenye bamia. Sasa basi sijakaa sawa akaniwwkea bamia la rosti lililochanganywa na bilinganya viazi ulaya pilipili hoho vitunguu maji na saumu karoti daaah wakati nakula poshi hilo la tatu nikamuuliza umeoa? Upishi huu wa bamia umeutoa wapi? Alinijibu kwa poshi la nne ambapo aliweka kunde bamia la kukatakata slices akachanganya na maharage mabichi na akaunga na karanga nilipomaliza kula pishi la nne sikuongea zaidi ya kulala kwa kuvimbiwa.
    Jamani nawaasa msipendw kuhukumu kitu kwa kukiangalia kwa nje tuu angalia utendaji maana mie hapa tangu mei mosi nakula bamia kila siku na wala halinikinai. Play ground swadakta!!!!
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.