Kina mama wakionyesha mfano wa kuwanyonyesha watoto wachanga katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya Unyonyeshaji Duniani yaliyofanyika kitaifa wilayani Mufundi mkoani Iringa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo akizundua kitabu maalum cha Mwongozo wa Mafunzo ya Ulishaji wa watoto wachanga na wadogo katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya Unyonyeshaji Duniani yaliyofanyika kitaifa wilayani Mufundi mkoani Iringa Juzi (kushoto) ni kaimu mkurugenzi wa mtendaji wa taasisi ya chakula na lishe tanzania Dk. Joyceline Kaganda na katibu tawala mkoa wa Iringa Wamoja Ayubu.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo akionyesha kitabu maalum cha Mwongozo wa Mafunzo ya Ulishaji wa watoto wachanga na wadogo mara baada ya kukizundua rasmi katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya Unyonyeshaji Duniani yaliyofanyika kitaifa wilayani Mufundi mkoani Iringa Juzi (kushoto)ni katabu tawala mkoa wa Iringa na kulia nimwakilishi wa Unisef tanzania Paul Edwards.
Baadhi ya wanafunzi wa uuguzi wakiwa katika maandamano wiki ya Unyonyeshaji Duniani yaliyofanyika kitaifa wilayani Mufundi mkoani Iringa.
mwakilishi wa shirika la kuhudumia watoto la umoja wa mataifa (UNICEF) nchini Tanzania Paul Edwards akizungumza. (picha zote na Denis Mlowe).
0 comments:
Post a Comment