June 23, 2014

  • Mmoja wa Abiria walionusurika kwenye ajali ya Makongo juu akitoa Shukrani Kanisani

    Miss Barbina akitoa sadaka ya Shukrani baada ya kunusulika katika ajali ya jana maeneo ya makongo. Barbina ni mmoja wa abiria walionusulika katika basi la daladala lililofumuliwa.

    http://michapoyetu.blogspot.com
    Kama tulivyoiripoti kwenye blog ya michapo yetu hapa





    Mtandao wa michapo yetu unakupa hongera zako na Mungu akupe maisha marefu ushuhudie zaidi na zaidi.

    Samuel Sasali's photo.
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.