June 21, 2014

  • MAUAJI IRAQ NA MIILI YA MAREHEMU IKIWA IMETUPWA KWENYE MITARO



    MAUAJI IRAQ NA MIILI YA MAREHEMU IKIWA IMETUPWA KWENYE MITARO

    Vuguvugu la Sunni lenye msimamo mkali la ISIS ambalo limeteka maeneo ya Kaskazini mwa Iraq limesambaza picha ambazo zinaonyesha jinsi wapiganaji wake walivyoangamiza idadi kubwa ya wanajeshi wa Iraq.
    Kwa mujibu wa BBC, Picha zinazosambazwa kupitia internet zinaonyesha miili ya watu iliyosongamana ndani ya mtaro ikiwa imepelekwa hapo kwa kutumia malori.

     

     
    Wapiganaji wa ISIS wanaonekana wakibeba bendera nyeusi ya huku wakichoma miili hiyo na kulazimisha mateka kulala chini.
    Wakati huo huo, Serikali ya Marekani inafikiria kuingia katika mazungumzo ya moja kwa moja na Iran juu ya hali ya usalama huko Iraq.


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.