June 22, 2014

  • Maandalizi ya kongamano la uwekezaji na biashara la CHINA NA TANZANIA linaloanza JUMATATU Dar es salaam


    maandalizi ya kongamano la uwekezaji na biashara la CHINA NA TANZANIA linaloanza JUMATATU dar es salaam
    Mkurugenzi wa Huduma wa Kituo cha Uwekezaji Nchini (TIC), Bi. Nakuala Senzia (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari mwishoni mwa wiki kuhusiana na kongamano la siku mbili la uwekezaji na biashara la China na Tanzania (China-Tanzania Business Forum) linalotarajiwa kuanza kesho jijini Dar es Salaam.  Wengine katika picha ni Meneja Mawasiliano wa TIC Bi. Pendo Gondwe, (wa pili kushoto), Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Stanbic Tanzania, Bw. Paul Omara (wa tatu kushoto), Afisa Habari Mkuu wa benki hiyo, Bi. Naomi Vincent na Mkuu wa kitengo cha huduma kwa wateja Wakubwa, Bi. Sylivia Shelukindo (kulia). Benki hiyo ndiyo inayodhamini mkutano huo. 


  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.