June 21, 2014

  • KIBARUA CHA ROY HODSON KIPO SALAMA …KUENDELEA KUIKOCHI ENGLAND HADI 2016



    KIBARUA CHA ROY HODSON KIPO SALAMA …KUENDELEA KUIKOCHI ENGLAND HADI 2016

    Staying: Roy Hodgson will remain in charge of                    England until 2016

    HATARI ya kutimuliwa kwa kocha Roy Hodson baada ya England kutolewa kombe la dunia, haipo na amehakikishiwa kuendelea na kibarua chake hadi baada ya michuano ya Euro 2016 itakayofanyika nchini Ufaransa.

    Mwenyekiti wa FA ya England Greg Dyke amethibitisha kuwa kocha huyo ataendelea na kazi yake hadi mwisho wa mkataba wake ambao unaisha mwaka 2016.

    "Tuna muunga mkono Roy Hodson na tumedhamiria kuendelea nae," alisema Dyke 



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.