June 21, 2014

  • ANGALIA PICHA DADA ALIYEKUA AKIMLA NYAMA HOUSE GIRL WAKE.


    ANGALIA PICHA DADA ALIYEKUA AKIMLA NYAMA HOUSE GIRL WAKE.
    Anaitwa Amina Maige au Amina kumeza
    Yusta dada wa kazi alokuwa akiteswa na boss wake kwa muda wa miaka mitatu. Boss mwenyewe ndio huyo bidada hapo juu wala hafananii na unyama alokuwa akiufanya kwa mtoto wa watu.
    Picha na story kwa hisani ya Gea Habib wa heka heka za leo ndani ya leo tena.
    Yupo segerea hivi sasa na na jana kesi yake ilisomwa.
     
     



  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.