May 19, 2014

  • TUKIO ZIMA:JUNES NDALIMA ALIVYOIBUKA MISS USTAWI WA JAMII MWAKA 2013/2014

     
     


    Washindi wa tatu bora wakiwapungia mkono mashabiki, katikati ni Junes Ndalima aliyefanikiwa kutwaa taji hilo, kushoto ni Georgia Gordian ambaye ni mshindi wa pili na kulia Nasra Moffat ambaye amekamata nafasi ya tatu.
    Ma-MC wa kinyang'anyiro hicho Hamis Dakota na Neema Nyangasa wakifanya mambo.
    Walimbwende wakiwa kwenye kivazi cha jioni.
    Majaji wakifanya yao, katikati ni Salma Dacota kulia ni Mike Lucas na kushoto ni Michael Maurus wakihakikisha wanatenda haki kumpata mrembo mwenye vigezo.
    Washindi wa mwaka jana wakiwa wameketi.
    Malkia wa Mipasho, Khadija Kopa akitumbuiza.
    Bendi ya Mashujaa ikifanya yake.
    Mwanadada Junes Ndalima amefanikiwa kutwaa taji la Miss Chuo cha Ustawi wa Jamii mwaka 2013/2014 huku nafasi ya pili ikikamatwa na Georgia Gordian na nafasi ya tatu inashikiliwa na mwanadada Nasra Moffat katika kinyang'anyiro hicho.
    Mshindi wa kwanza alikabidhiwa shilingi 7,000,000 huku  wa pili akijinyakulia shilingi 500,000 na wa tatu shilingi 300,000 huku mshindi wa nne na wa tano wakipewa shilingi 100,000 kila mmoja na washiriki waliobakia walipewa shilingi 70,000 kila mmoja.
  • 0 comments:

    Post a Comment

    Copyright @ 2013 Michapo | Kisiwa cha Habari.