Gari ya
kifahari kabisa kwa mara ya kwanza kuonekana katika jiji la magari ya kifahari
duniani Monaco nchini Ufaransa kama inavyoonekana kwenye picha imesajiliwa
Italia na gari la kimichezo na ina mchanganyiko wa vitu vingi kama rangi nyeusi
na nyekundu na manjano.
Na
modewjiblog, kwa Msaada wa Mtandao
Katika
jiji la Monaco ndio mahali magari mengi ya kifahari na yenye kasi ya ajabu na
muundo wenye kutumia teknolojia ya juu duniani kutumika sana kuliko majiji
mengine ulimwenguni kama vile Ferrais na Lamborghinis yatashidwa kutamba katika
jiji hilo.
Inaaminika kwamba hiyo gari aina ya Mclaren
ndio gari ya kifahari kupatikana nchini Ufaransa baada ya miongo kadhaa,
itapelekwa kwenye maonyesho makubwa ya gari ya kifahari katika jiji la Monaco
hivi karibuni au miezi michache inayokuja lakini ujio wa magari haya ya kifahari
yameyatoa baadhi ya magari ya kifahari kwenye uso wa
dunia.
Wachambuzi wa magari ya kifahari wanasema
hizi ni zama za magari ya umeme na yenye kutumia teknolojia ya hali ya juu
kabisa magari kama vile LaFerrari, McLaren PI na Porsche 918 lakini cha
kufurahisha LaFerrari tayari imeshapelekwa kwenye maonyesho ya magari ya
kimataifa jijini Monaco lakini gari pekee iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ni
McLaren ambayo tayari imeingia sokoni.
0 comments:
Post a Comment